EXCLUSIVE VIDEO PREMIER: Adam Mchomvu – Rangi Za Dela

0

STAR wa muziki wa hip hop nchini Tanzania ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds Fm ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya wa Rangi za Dela. Nakukaribisha uitazame kisha share na wana. Unaweza kuDOWNLOAD audio yake hapa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here