Mwasiti

Mwasiti – Yeye Allah (Audio)

BIDADA Mwasiti, Tanzanian Bongo Flava artist leo ameachia audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Yeye Allah". Ni aina ya wimbo flani hivi...

Mwasiti Aachia wimbo Mpya “Bado”na BillNass

Baada ya kimya kingi kupita bila kuachia ngoma, mwanadada Mwasiti arudi na "Bado" ambayo amemshirikisha Billnass. Rekodi hii imetayarishwa na Kimambo na mtunzi ni...