Kenya

EXCLUSIVE MUSIC: Gabiro Mtu Necessary – Chini Ya Maji

Kisumu City's Gabiro Mtu Necessary Describes His Type Of Woman In New Hit, Chini Ya Maji Kisumu city most sought after award winning rapper, Gabiro...

Trapee – Najivunia Ft. Avril (Audio) #REWIND

MOJA ya artist waliofanya vizuri nchini Kenya kwa hit songs zisizoisha utamu ni "Trapee" anahusika. Leo nakusogezea audio aliyowahi kutengeneza na kufanya vizuri pande...

Jivu – Marīrū (My Love)

KUTOKA pande za 254 Kenya nakusogezea brand new audio ya Jivu – Marīrū (My Love) Produced by Waithaka Entertainment. Sikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy!   https://www.youtube.com/watch?v=Xm3oHwTFQ6I

Colonel Mustafa Feat Avril – Mtaani Dot Com (Audio) #REWIND

MTAANI dot com ni  jina la audio ya wimbo mpya aliowahi kuachia Kenyan rapper Colonel  Mustafa akishirikiana na mwanadada Avril ambaye amefanya chorus. Ngoma...

Naiboi – Dinda (Audio)

ANAWAKILISHA pande za 254 Kenya muite Naiboi, Sikiliza audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Dinda" (means do not accept it/Kataa). Dinda imetayarishwa...

Victoria Kimani – Should Be (Audio)

MWANADADA Victoria Kimani kutoka pande za 254 Kenya anakuletea audio ya wimbo wake mpya "Should Be". Sikiliza/Download Kisha share na wana, Enjoy.  DOWNLOAD Victoria Kimani...

Kenya waanza mchakato wa kumtafuta Rais wa Kwanza Mwanamke

Huku juhudi za kisiasa pamoja na zile za kisheria kuleta usawa wa kijinsia kupitia kuwa na wanawake wengi katika nyadhfa za juu zikiendelea duniani,...

P Unit – Chocha (Audio)

KENYAN Superstars P Unit wamekuja na hii mpya "Chocha"  sikiliza/tazama/ download kisha share na wana. Enjoy! DOWNLOAD AUDIO

Jaguar – Nikuskize (Audio) REWIND

UKIZUNGUMZIA wasanii nchini Kenya waliofanikiwa kwa kiwango kikubwa kupitia muziki na maisha binafsi usipomtaja Jaguar basi umefeli. Kutoka kuwa msanii wa muziki hadi kuwa...

King Kaka Ft. Barnaba – Wasikudanganye (Audio)

Rapper King Kaka Kutoka Kenya anakudondoshea audio ya wimbo wake mpya alioshirikiana na mwanaBongoFlava Barnaba Boy Classic ngoma inaitwa "Wasikudanganye". Sikiliza/Download kisha then toa...