Hamisa Mobeto

Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea mtoto wake huyo aolewe na mzungu. Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Shufaa...