Guitar

VIDEO: Kutana Na Mpiga Guitar Wa Alikiba “Patiant Losso” Akifanya Yake

Tazama Mpiga Guitar Wa Alikiba "Patiant Losso" Akifanya Yake. Yeye ndiye aliyepiga gitaa kwenye wimbo wa Dushelele, Mwana, Chekecha Chekechua.