Genge

Jivu – Marīrū (My Love)

KUTOKA pande za 254 Kenya nakusogezea brand new audio ya Jivu – Marīrū (My Love) Produced by Waithaka Entertainment. Sikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy!   https://www.youtube.com/watch?v=Xm3oHwTFQ6I

Colonel Mustafa Feat Avril – Mtaani Dot Com (Audio) #REWIND

MTAANI dot com ni  jina la audio ya wimbo mpya aliowahi kuachia Kenyan rapper Colonel  Mustafa akishirikiana na mwanadada Avril ambaye amefanya chorus. Ngoma...

Naiboi – Dinda (Audio)

ANAWAKILISHA pande za 254 Kenya muite Naiboi, Sikiliza audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Dinda" (means do not accept it/Kataa). Dinda imetayarishwa...

P Unit – Chocha (Audio)

KENYAN Superstars P Unit wamekuja na hii mpya "Chocha"  sikiliza/tazama/ download kisha share na wana. Enjoy! DOWNLOAD AUDIO

Jaguar Ft Prezzo – Timika (Audio)

Listen/Download brand new audio ya wimbo mpya wa Jaguar Ft Prezzo – Timika.   DOWNLOAD AUDIO

C Zars – Amka Ukatike | MP3 Download

Ni miaka kumi na mbili sasa tangu hit maker wa ngoma ya Amka Ukatike aanze kuwika afrika mashariki vya kutosha na wimbo huu uliomtambulisha...