elizabeth michael

Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Kutumikia Kifungo Cha Nje

Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia 'kifungo cha nje' kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Lulu alihukumiwa kifungo...