bongo movies

Timu Wema Wamtosa Wema Sepetu Mapokezi ya Van Vicker

Sio kawaida kwa mwanadada Wema sepetu kupokea mgeni katika viwanja vya ndege kama ilivyotokea alfajiri ya leo kwa kuosekana kwa umati wa watu.Kama alivyokuwa...

Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Kutumikia Kifungo Cha Nje

Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia 'kifungo cha nje' kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Lulu alihukumiwa kifungo...