Bongo Flava

Download Nyimbo Mpya, Audio, Video, Bongo Flava, Wimbo, Mp4 New Song, Muziki, Mp3, Ngoma mpya 2018, Tanzania, Bongofleva, Mapenzi, Nyimbo za injili, Kuabudu

Marioo – Chachandu (Audio)

MSANII wa muziki wa Bongo Flava Tanzania "Marioo" amekuja na nyengine tena mpya aliyoipa jina la "Chachandu". Wimbo umetayarishwa na producer Kimambo. Sikiliza/Download kisha...

Baraka da Prince Ft. Madee – Sina (Audio)

Sikiliza/ Download brand new audio ya wimbo mpya wa Baraka da Prince Featuring Madee - Sina. Ngoma imetayarishwa na Davy Machords pamoja na Mr...

Rich Mavoko – Doro (Audio)

LISTEN or download brand new audio from Tanzanian Bongo Flava artist Rich Mavoko "Doro". Song produce by S2kizzy DOWNLOAD AUDIO

Msechu akanusha kufulia kimuziki

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na ngoma zake kama vile Relax na Nyota, Peter Msechu amekanusha tetesi za kushuka kimuziki. Tetesi za...

Bablee kutumbuiza Miss Bwawani Sabasaba

STAR wa muziki wa Bongo Flava Tanzania anayetamba na ngoma yake mpya True Story Bablee, anatarajia kukiwasha pande za Morogoro kwenye event ya Miss bwawani itakayofanyika...

Mabaga Fresh – Tunataabika (Audio) #REWIND

HUKU Ndipo Bongo Flava ilipotokea na ukizungumzia wasanii walioupa heshima muziki huu basi hawa jamaa wapo pia tangu 2004's huko nyuma. Tunataabika ni wimbo...

Moni Centrozone & Country Boy – Tupo Hapa Leo (Moco)

SIKILIZA audio ya wimbo mpya wa Moni Centrozone & Country Boy (Moco) – Tupo Hapa Leo. Ngoma imetayarishwa na producer S2Kizzy. Toa maaoni yako...

Tunda Man – Kichwa Box (Audio)

MSANII wa Bongo Flava Tanzania Tunda Man ameachia audio ya wimbo wake mpya "Kichwa Box", Nakukaribisha kusikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy  DOWNLOAD AUDIO Tunda Man...

Zaiid – Picha (Audio)

BONGO Hip Hop artist ZaiiD amedondosha audio ya wimbo wake mpya alioupa jina la "Picha". Ngoma imetayarishwa na Producer S2Kizzy katika studio za switch...

Nuh Mziwanda Ft. Sholo Mwamba – Nataka Mtoto (Audio)

Nuh Mziwanda Ft. Sholo Mwamba – Nataka Mtoto STAA wa muziki wa Bongo Flava Tanzania Nuh Mziwanda ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa "Nataka...