Arafa Abdillah

Lyrics: Jina Langu Ramadhani Ziara Yangu Neema (Audio)

Ramadhan ndugu yenu, nimekuja toka mbali, Nimetoka kwa Mola wenu, Muweza Mola Jalali.Kanipa salamu zenu, na zawadi mbali mbali, Mnipokee niwe kwenu, Ndugu zangu...