The Rockaz – Rockaz Anthem (Audio) #REWIND

0
The Rockaz - Rockaz Anthem

WANAWAKILISHA 255 Bongo Tanzania, Moja ya kundi lililokuja kwa kasi kwenye game ya Bongo Flava likiwakilishwa na Quick Rocka, Mo Rocka na Chief Racka nawazungumzia The Rockaz. Rockaz Anthem ni wimbo uliowatambulisha kwa mara ya kwanza kwenye game huku producer Lamar akisimamia production nzima kupitia studio yake ya Fishcrab CookOut (Audio Station). Nakukaribisha kusikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy!.


DOWNLOAD AUDIO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here