Jaguar – Nikuskize (Audio) REWIND

0
jaguar nikuskize

UKIZUNGUMZIA wasanii nchini Kenya waliofanikiwa kwa kiwango kikubwa kupitia muziki na maisha binafsi usipomtaja Jaguar basi umefeli. Kutoka kuwa msanii wa muziki hadi kuwa mwanasiasa na kufanikiwa kupata ubunge ni hatua kubwa sana kwa hapa bongo Professor Jay anaweza kuwa mfano mzuri kwake. Nakusogezea moja ya hitsongs alizowahi kuachia Jaguar “Nikuskize” (Nikusikilize). Hii ngoma Jamaa aliachia mwaka 2009 na Ogopa Deejayz ndiyo waliotayarisha audio hii pamoja na video yake. Sikiliza Download kisha share na wana then nambia umekumbuka nini kupiti huu wimbo.

Chorus (Jaguar)
wee ni kama my sweet mama
ni kama nyimbo nayopenda
kila siku nikucheze
kila siku nikuskize
nikuskize
kila siku nikuskize
nikuskize

DOWNLOAD AUDIO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here