Balozi Dola – Kwenye Chati | MP3 Downoad

2
Balozi Dola - Kwenye Chati (Wengi Walikwepo sasa hivi wapo wapi)

 ALHAMIS EXCLUSIVE  Leo kwenye TBT ya Bongo Fleva ni ni wimbo wa Balozi Dola SoulKwenye Chati.Ngoma hii ni moja ya hit songs zilizo bamba mbayaa Tanzania na Africa  Mashariki kutoka kwa mwana hip hop huyu ambaye kwa sasa anaishi Ughaibuni.Track  iko produced chini ya producer Mika Mwamba.
Soma mistari(Lyrics) zake hapa za kiitikio,  Sikiliza/Download Kisha Share na wana..!

Chorus
Wengi walikwepo sasa hivi wapo wapi,wako wapi
Balozi bado nipo ninapanda kwenye chati,kwenye chati
Nashika ile ile,ile moja namba natamba 
Nina uhakika kila mwaka,wa kubaki kwenye chati (Yeeah) x2

DOWNLOAD BALOZI DOLA SOUL – KWENYE CHATI | MP3 AUDIO

2 COMMENTS

 1. Heko wanetu!
  Hizi #rewind zanikumbusha mixtapes za nyuki Djs, kitambo kileeee…
  But naombeni mnsaidie jina na jina la msanii wa mashairi haya *labda kesho nami nitadaka mavumba, labda kesho nami nitayumba.
  Labda kesho nami nitadaka mavumba, nitakua bwii halafu nayumbayumba*
  Note; track hii ilikua inafanana rithm na track nyingine, kama itawezekana tupia zote tu
  thanks kwa ukurasa huu wa #REWIND

  • Melody ya hiyo mistari naikumbuka ila wimbo na jina la msanii nimesahau ila nakuahidi nikiukumbuka ntauweka hapa Mkuu, Ahsante na endelea kutembelea Ukurasa huu uzipate nyimbo za zamani zote

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here