REWIND

Hellow Karibu kwenye Alhamis Exclusive A.k.A REWIND ya Bongo Exclusive, hapa utakutana na ngoma za zamani tu zilizotamba kuanzia 1999 hadi 2013 za Bongo Flava, Genge (Kenya), Uganda, South Africa, Nigeria na Duniani kote. Kila Alhamis Utakutana na Throwback hapa so usiache kutembelea Bongo Exclusive (Everything Exclusive).