Watu 50 wauawa, 53 wajeruhiwa kwenye klabu ya usiku Marekani

0

Watu 50 wauawa, 53 wajeruhiwa kwenye klabu ya usiku Marekani

  • Inakadiliwa watu zaidi ya 20 wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika klabu ya usiku
  • Mpigaji risasi alikuwa na risasi ya mkono pamoja na “assault rifle”
  • FBI wamekiita hiki kitendo ni cha kigaidi
  • Ronald hopper kuhusu uwezekano wa makundi ya kigaidi kuhusika kwa makundi ya kigaidi ya itikadi kali alijibu “
    “We do have suggestions that that individual might have leanings towards that particular ideology.”

    However, he added that this was not yet definitively established.

Hili tukio linakuja baada tu ya hivi karibuni msanii kuuwawa huko huko USA

 TAZAMA VIDEO HAPA 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here