Mtangazi Gadner G Habash Arudi Clouds FM Radio Kutoka EFM

0

Baada ya watangazaji Gerald Hando na Paul James kusemekana wameondoka Clouds FM radio, Clouds imeamua kumrudisha nguli wa utangazaji Gadner G Habash .
Diva loveness Amepost picha mtangazaji huyo akisign mkataba na kuandika haya :
So wanted to post him toka Jana .. welcome back Captain G Habash !… I am The Happiest Girl on earth, You Made Me … 👻 S/O to My Big Boss .. ❤ You did it , ️. yaan Captainnnnn .. G. Habassshh!. Umeona Banah ..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here