Alice Kella – Asante Mama (Ft. Ruby & Nandy) Lyrics | Mistari

0

 EXCLUSIVE  Lyrics Alice Kella – Asante Mama (Ft. Ruby & Nandy) | Asante Bi Mkubwa | Mistari

Alice Kella - Asante Mama (Ft. Ruby & Nandy) Lyrics

Download Audio Hapa – Alice Kella – Asante Mama

Mama, mama (mama)
Oh mama, mama
Asante mama (mama)
Mama, oh mama, mama
Asante mama

Na hivyo kutii, nakuombea kwa Mola
Maana kwa langu buti niwe nahodha
Ubarikiwe
Umenilea kwa wema
Na kwa ya Mungu neema
Ni zako nyingi huruma
Yey, yeah
Mazuri, matamu yako malezi
Na ulivyonienzi
Mazuri, matamu yako malezi
Na ulivyonienzi
Ulinitunza kama ua
Na ukafuta kila chozi, yeih
Na kila nilichotenda
Subra bila pozi
Mama (mama), mama (ma-mama)
Mama (mama), oh mama
(Asante mama)
Mama, mama (mama)
Mama owh owh, maa–
(Asante mama)
(Asante mama)
Mama, mama, mama
Penzi unge dhahabu
Au almasi
Nikupe dunia na kila kitu ndani
Bado havitoshi
Upendo wako hauna kifani
Imani yako mi unitoe gizani
Maombi yako unitulize mimi
Na subira yako imenifunza mengi
Umenitunza vyema
Na ukafuta kila chozi
Mmh na kila nilichotenda
Subra bila pozi
Na ukanifunza heshima
Dunia niishi nayo vipi
Na mi chini sipi…
Na ukanifunza heshima
Dunia niishi nayo vipi
Na mi chini sipi?
Asante mama
Oh mama ma ma, oh mama ma ma
Asante mama
Asante bi mkubwa
Asante bi mkubwa he
(Asante mama)
Mama, asante bi mkubwa he eh
Asante mama
Asante mama
Asante mama
Asante mama
Asante mama

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here