Professor Jay Ft Ruby – Vunja Mifupa (Audio)

0
Professor Jay Ft Ruby – Vunja Mifupa

BAADA ya kimya kingi kupita msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Professor Jay leo ameachia audio ya wimbo mpya alioupa jina la “Vunja Mifupa”. Mtayarishaji wa hii ngoma ni Mr T Touchez huku mwanadada Ruby akihusika kwenye back vocals. Sikiliza Download kisha share na wana!.


DOWNLOAD AUDIO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here