E.L – Auntie Martha (Audio) | REWIND

0
el auntie martha

ANAITWA Elom Adablah (31) au kwa jina la kisanii anajulikana kama EL. Ni msanii kutoka Ghana ambaye leo tunareview moja ya ngoma iliyompa umaarufu zaidi afrika ya magharibi na afrika kwa ujumla ni hii Auntie Martha. Auntie Martha ni wimbo ambao jamaa anamuimbia mama wa mpenzi wake kuwa anataka kumuoa mwanae, hivyo anamuomba amruhusu waweze kufunga ndoa mapema iwezekanavyo. Ni bonge moja la ngoma yenye miondoko ya afro pop na mistari mizuri yenye kushawishi. Auntie Martha ilitoka mwaka 2013 January 11. Download kisha toa maoni yako uniambie umeionaje jamaa katisha au vipi. Enjoy! This is REWIND ya Bongo Exclusive (BE)

CHORUS

(EL) eh auntie Martha
Eno be any matter bia
I just wanna marry your daughter
Today ooo today ooo
So auntie Martha
Abi you know me ago bia
So i go fit to marry your daughter
Today ooo today ooo


DOWNLOAD AUDIO

Unaweza kutazama Video yake hapa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here