Chege – Mtu Mzima (Audio)

0
Chege – Mtu Mzima

UNAWEZA kumuita Konki Master au Chege moja ya Bongo Flava artists wanaofanya game ya muziki kwa muda mrefu nchini Tanzania, Nakukaribisha kusikiliza audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Mtu Mzima. Track imetayarishwa na Beef Chaa kutoka studio za MJ Records. Sikiliza,Download kisha share na wana.


DOWNLOAD AUDIO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here