Linah – Imani (Lyrics)

0
 EXCLUSIVE  Linah – Imani (Official Lyrics)  | Mistari

Linah - Imani (Lyrics)
[Verse 1]

Tusipende kuishi kwa kunakiri maisha
Ulivyofanya jana usifanye na leo utakwisha


[Refrain]

Mmh, Mungu Baba anatenda haki kwa kila mwanadamu
Akikupa, akikunyima nyoosha mikono sema alhamdu


[Chorus]

Kiwe kidogo (ndio ni chako hicho)
Kiwe kikubwa (ndio ni chako hicho)
Waseme mwanaume mbaya (ni wako huyo)
Awe na pesa au fukara (ndio ni wako huyo)
Awe anapenda sala (ni wako huyo)
Awe chizi kwa jalala (ndio ni wako huyo)


[Verse 2]

Kushukuru ni jambo linalompendeza Mungu nina hakika
Ukipata, ukikosa nyoosha mikono juu shukuru ulipofika
Kukata tamaa kwa mwanadamu ni umaskini
Hakuna kinachoshindikana katika dunia hii


[Refrain]

Mungu Baba anatenda haki kwa kila mwanadamu
Akikupa, akikunyima nyoosha mikono sema alhamdu


[Chorus]

Kiwe kidogo (ndio ni chako hicho)
Kiwe kikubwa (ndio ni chako hicho)
Waseme mwanaume mbaya (ni wako huyo)
Awe na pesa au fukara (ndio ni wako huyo)
Awe anapenda sala (ni wako huyo)
Awe chizi kwa jalala (ndio ni wako huyo)


[Bridge]

Usikose imani na maisha yako
Ukipiga goti kwa imani utajibiwa maombi yako


[Chorus]

Kiwe kidogo (ndio ni chako hicho)
Kiwe kikubwa (ndio ni chako hicho)
Waseme mwanaume mbaya (ni wako huyo)
Awe na pesa au fukara (ndio ni wako huyo)
Awe anapenda sala (ni wako huyo)
Awe chizi kwa jalala (ndio ni wako huyo)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here