Flashback

Flashback ni kipindi kinachoruka Mlimani Radio kupitia masafa ya 106.5 Mhz Dar Es Salaam kila jumapili saa mbili hadi nne asubuhi na mtangazaji “Mohammed Kassimu (Medy Marley). Kupitia Flashback utapata kusikiliza nyimbo kali zilizowahi kutamba hapo zamani pamoja na historia za wasanii wa kipindi hicho kupitia kwenye segments kama The Profile, Mashup na Your Request. Mlimani Radio (Elimu Kwanza).

Flashback Sunday