Peter wa P Square Aanika Utajiri Wake

0
peter p square

SIKU chache baada ya kuanika jumba la kifahari la ghorofa moja analoishi, staa anayeunda Kundi la P Square, Peter Okoye ameanika utajiri wa magari yake.

Peter ambaye ni pacha na Paul wanaounda kundi hilo, akitamba na Wimbo wa ‘Wokie Wokie’, juzikati aliweka picha yake akiwa amezungukwa na magari ya kifahari na kupata ‘komenti’ za kutosha kutoka kwa mashabiki wake. “Ungetafuta egesho kubwa zaidi,” ilisomeka moja ya komenti

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here