Ray Kigosi: Nafanya movie Rwanda, Mtanzania pekee

0
Ray Kigosi: Nafanya movie Rwanda, Mtanzania pekee

Ray Kigosi kupitia mtandao wake wa kijamii aliandika kuwa kwa nafasi aliyopata hawezi kuwaangusha watanzania kwani yeye amekwenda kuwaonyesha kazi.
“Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie inayoshirikisha nchi mbili, Tanzania na Rwanda ni msanii pekee toka Tanzania niliyechaguliwa kuja kufanya movie hapa nchini Rwanda nina imani sitowaangusha watanzania wenzangu hapa ni kazi tu” aliandika Ray Kigosi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here