Mashabiki Watafsiri Zari ana Mimba Baada ya Mdogo wake Diamond Kudaiwa Kuandika Ujumbe Huu

0

Mashabiki Watafsiri Zari ana Mimba Baada ya Mdogo wake Diamond Kudaiwa Kuandika Ujumbe Huu

Wakati Diamond yupo Ujerumani kwa ajili ya tour yake ya Ulaya, Jumatano hii katika mitandao ya kijamii hasahasa instagram kunasambaa ujumbe ambao mashabiki wengi wa Diamond wameutafsiri Zari ana mimba nyingine ya Diamond.

Mtangazaji wa U heard ya XXL ya Clouds FM, Soudy Brown, alipost picha ya ujumbe huo na kuandika: Doh Blaza kishaloweka kwa Mara nyingine, haya T subiri mdogo wako on ze way.
Sudy

Baada ya ujumbe huo mashabiki wa Diamond amekuwa na maoni tofauti juu wa swala hilo.

Nurashammy
Safi sana Diamond waseme tena furaha mpaka nalala naviyato kwakwei kusikiya kama @zarithebosslady najuwa @diamondplatbumz haukosi kitu ila mimi kama shabiki wako ningependa kutowa zawadi ya tiffah

Tajibetese
Hivi nikweli naweza kufa kwa furaha @diamondplatnumz @zarithebosslady

Nurashammy
Safi sana @diamondplatnumz kusikiya kama @zarithebosslady ni mama kijacho ju yafuraha nalala na viyato kwakweli Mungu awape riziki

Mchagga_wa_mashati
Sijui na hii watahitaji tena DNA? Maanake wabongo kwa kutunga story. Hongera Z and D

Savefordpamela
Zaaa tu mumy yake kam Mungu amekupa uzur hakun wakukusaidia kulea wala matunzo husaidiw n.a. mtu.

Zaymuna
Azae hata 10 maadamu hajawaomba maziwa wala chakula cha wanae mwacheni Zari wa watu. Kwanza Mimba amebeba yy, afya inaruhusu , kizazi anacho, kulea atalea yy. Tukiwauliza kinachowakera ni nini mtakuwa na jibu kweli?? Wengine mama zao wamezaa mitoto kibao wapo hapa kumsema Zari hovyooo.

Zarimondtiffahplatnumz
@jessy_jay_jacob Dada kumbuka hawatumii condom sasa mimba imeingia. Unataka wakatoe? mwenzenu anazaa na wenye pesa, account ya tiffah inaweza kukulisha wewe na ukoo wako, wale soldiers ndo usiseme baba ana hela ka serikali ya miseven….muacheni Dada wa watu na bado akafyatua wa 2 nyumbu ndo basi tena maana naskia bado anamatumaini dai atamrudia. Inachoma kama pasiii

Jorgeoden
Huyu zari itakua ameiba mimba ya wema huyu…. #am_kidding

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here