ALI KIBA NA BARAKA THE PRINCE WAMEVAMIWA NA MAJAMBAZI WAKIWA SOUTH AFRICA

0
ALI KIBA NA BARAKA THE PRINCE WAMEVAMIWA NA MAJAMBAZI WAKIWA SOUTH AFRICA

Mastaa wa bongo fleva ambao wako chini ya management moja ya Rockstar 4000 , Ali kiba pamoja na Baraka the Prince wameripotiwa kuvamiwa na majambazi wenye siraha nzito na kunyang’anywa mali zote walizo kuwa nazo.

Tukio hilo limetokea wakiwa south Africa wakiwa wameenda kufanya video ya nyimbo yao mpya ambayo Ali kiba ameshirikishwa na Baraka the Prince. Wote wametoka salama.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here