Nikki wa Pili Amvisha Pete ya Uchumba Mpenzi wake

Nikki wa Pili Amvisha Pete ya Uchumba Mpenzi wake

Nikki wa Pili Amvisha Pete ya Uchumba Mpenzi wake

Rapper Nikki wa Pili yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu. 
Shughuli hiyo inadaiwa kufanyika huko mkoani Arusha na kuhudhuriwa na Wasanii wenzake akiwemo Joh Makini, Dogo Janja, Lord Eyes. 


Baada ya shughuli hiyo fupi, rapa huyo aliandika “Queen, malkia, mwenye moyo wangu…….nuru ya uzuri wako imulike njia ya maisha yetu…..Nakupendaaaa sanaaaaaaaaa #sikuyetu ahadi ya kwanza nimetimiza. 
 


This is Bongo Exclusive Official Website (Everything Exclusive) you can follow our social network pages or email us: bongoexclusive@hotmail.com

Become Our VIP Subscriber, Jiunge Sasa!

 
Top